Wednesday 16 September 2015

Diamond Azidi Kukata Watu Kidomo.... Ashinda tuzo mbili za African NAFCA



Diamond Platnumz anaendelea kufanya vizuri kimataifa baada ya kuibuka mshindi wa tuzo mbili za African NAFCA.

Muimbaji huyo ameshinda vipengele vya msanii wa mwaka anayependwa pamoja wimbo wa mwaka unaopendwa ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour.

Tuesday 15 September 2015

UEFA: PSV yaigaragaza Man U 2-1



Baada ya kukosa michuano ya ulaya kwa msimu uliopita, hatimaye usiku wa leo Manchester United imerejea rasmi katika michuano hii mikubwa barani humo kwa ngazi ya vilabu.

Vijana wa Louis Van Gaal walisafiri mpaka Uholanzi, nyumbani kwa kocha wao, kucheza na klabu ya PSV.

Njia kuu tano zakufanya mpenzi wako akupende zaidi na kuku samehe ulipo kosea.



Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana na  kukasirishana. Katika hali ya kawaida, kipindi hiki huwa ni cha hatari kwa sababu husababisha ufa mkubwa wa uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha.

Sote tunajua kuwa watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana na hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo, si wote wanaojua wafanye nini wanapoingia kwenye hatua hiyo mbaya.

Fahamu faida za kuvaa Shanga kiunoni mwa mwanamkwe na Kazi zake



kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu zinamaanisha nini haya sasa..

katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.

Ingested Cocaine Capsules Explodes Inside The Belly of Two Nigerians Killing Them Instantly



 Panic and pandemonium broke out on-board an Emirate flight last night traveling from São Paulo Brazil en-route to Dubai when some passengers developed serious internal complications.

The flight took off at 12:10am Brazilian time. Two hours on board the leading Pilot made an announcement that someone fell seriously ill on the flight and that there is need to turn back for an emergency landing in order to save the person's life.

Photo: Davido's Girlfriend Sira.




Davido’s girlfriend, 19-year-old Guinean beauty, Sira Kante is hot on a different level. The US based model has hushed up any news on her relationship with the 23-year-old Nigerian superstar since the leak of his baby mama news but that didnt affect her hotness in any way.

Sunday 21 June 2015

Mji Mkongwe wa Zanzibar wawekewa mtandao wa CCTV kamera




Zanzibar inatarajia kuimarika zaidi kiulinzi na kiusalama sambamba na kuongeza mapato yake kupitia sekta ya utalii baada ya kukamilika kwa mradi muhimu wa kamera za kurikodi matukio ya kila siku (CCTV CAMERA) zinazofungwa katika eneo la Mji Mkongwe wa Zanzibar.

Mradi huo muhimu wa mfumo wa ‘CCTV Camera’ uliofadhiliwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Kisasa ya ZTE kutoka nchini China ni utekelezaji kufuatia ziara ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi aliyoifanya nchini China mwishoni mwa mwaka jana.